Harmonize: Mashabiki ndio mmenifanya nichore tattoo mwili mzima, na kubandika vipini kwenye pua

Harmonize: Mashabiki ndio mmenifanya nichore tattoo mwili mzima, na kubandika vipini kwenye pua

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Ila Harmonize hapana huyu ntu kutoka Ntwaraaa, sijuwi anatumia cha wapi?
=============
Anasema sisi ndio tumemfanya aweke grills kwa meno, sisi ndio tumemfanye ajichore matattoo mwili mzima🤣🤣🤣 cha arusha zishampanda kichwani😂😂

 
Huyu ndo anasema sisi tumemfanya ajichore kama ubao wa chekechekea na kujitoa kwa ili aingie kwenye game ya muziki. Sasa alikuwa analialia nini alivyokatwa BSS
photo_2025-12-11_23-41-58.jpg
 
C kutoboa vipin tu...sisi sisi tutamfanya mpka donati litobolewe
 
Na sisi ndo tumemfanya abuni style ya kuongea ha ha ha nachoka mjomba yenu wa Namtumbo!!!
 
Crack cocaine is not a joke, vijana kaeni nayo mbali
 
Crack cocaine is not a joke, vijana kaeni nayo mbali
Is he among of the crack cocaine users? Na kwasababu tumeshaanza kuwakataa nauona mwisho wake mbaya na hayo matumizi ya hiko kitu. Chid Benz atakuwa na nafuu
 
Back
Top Bottom