Harmonize msani mwenye bahati sana

Uzi wako umepingwa na wadau karibia wote wapo against na ww ... Nazani hautambui usemi wa umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ukishalijua ilooo utawaambia JF moderator watoe huu UZI
 
Mi nadhani ukimpelekea kunduu lako akutatue marindaa utajihisi mwenye bahati sana we shoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka wa babaaako eti wa mamaako una kutuuu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]hahaahahahahah hahaahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team kiba bwana....mmenshindanisha Dom na kizee chenu mmeshindwa mmeamua KUTENGENEZA timu Tena ndani ya wasafi?!
 
Nje ya WCB he will not be Harmonize again....wapi Qboy,Kifesi,Mwarabu,Mavoko...????
Qboy anafanya vzr sana tangu atoke huko wasafi na nimemjua baada ya yeye kua solo artist.
 
Nikisikiaga..."atarudi".....matatizo....bado....shulalalala.....niambie.....aiyola....aiseee...namkubali sana huyu konde boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…