Kulupura
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,053
- 1,189
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya WCB he will not be Harmonize again....wapi Qboy,Kifesi,Mwarabu,Mavoko...????
Wanambaniya keshamind kishenziWrite your reply...kuhusu issue ya ngoma kuchelewa anasema alipanga toka week iliyopita atoe ngoma tatu ila mpaka kesho jumatatu alighairi!. so tusubiri kesho ikiwemo hiyo afrobongo na burna boy
Mi nadhani ukimpelekea kunduu lako akutatue marindaa utajihisi mwenye bahati sana we shogaKwani wew huione bahati yake ? Alipotoka hadi sasa akikupa wew kazi ya kudekia chooo chake utajiona unabahati sanaa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Hebu ntafsirie huu mstari una maana gani kwenye Kwangwaru "Paka mate niteleze kama nyoka pangoni"
Sio mkuuu mi mwenyew nawa mind sema tu uongozi wa wcb wanampelekesha vibaya uyu dogo
Sent using Jamii Forums mobile app
WTF!
Hance1 wambiye wautowe uone vurugu nitakayofanya apa JFUzi wako umepingwa na wadau karibia wote wapo against na ww ... Nazani hautambui usemi wa umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ukishalijua ilooo utawaambia JF moderator watoe huu UZI
Anataka wa babaaako eti wa mamaako una kutuuu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]hahaahahahahah hahaahahahahahMi nadhani ukimpelekea kunduu lako akutatue marindaa utajihisi mwenye bahati sana we shoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwarabu alishakuja kukuomba hela ya kula kwako DogoNje ya WCB he will not be Harmonize again....wapi Qboy,Kifesi,Mwarabu,Mavoko...????
Qboy anafanya vzr sana tangu atoke huko wasafi na nimemjua baada ya yeye kua solo artist.Nje ya WCB he will not be Harmonize again....wapi Qboy,Kifesi,Mwarabu,Mavoko...????
fact, nadhan Mavoko hakujua ukubwa na nguvu ya WCB wakati akiwa ndani yake. Lakini sasa nadhan anaona ndio maana sina uhakika kama kuna ngoma nje ya WCB ambayo imefikisha watazamaji mill 1 tangu atoke huko.Nje ya WCB he will not be Harmonize again....wapi Qboy,Kifesi,Mwarabu,Mavoko...????