mbutamaseko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 743
- 1,071
Hii tabia huwa yakise.... Af utakuta huyu ni mwanaume kabisa.puuuumbavuu sana
Yap natumaini Diamond kasoma maoni yako na atayafanyia kazi.Wakuuu hamjambo ..hope mmeamka salaam.. niende moja kwa moja kwenye mada ...Mmakonde Harmonize mziki wake ni mzuri sana yeye huwa anaimba kinacho eleweka na huwa atumiy sana matusi kama babaake mondi na dogo lake rayvany .. kwakweli dogo ndo anaongoza sasa ..lakin tatizo Lipo pale wasafi dogo wameanza kumbania kiaina ngoma zake wanazichelewesha hadi ana mind ..dogo anajituma sana tena sana kuliko wasani ote pale wasafi dogo sio tena mtoto wakuburuzwa tu wanavyotaka mwenyewe Asha tengeneza mazingira mazuri Nigeria na Ghana na Kenya... wasafi wawe makini wakiendelea kumzinguwa dogo ataondokazake...kama walitengana wale mapacha wa Nigeria itashindikanaje harmo kuondoka wasafi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kagomba woteNje ya WCB he will not be Harmonize again....wapi Qboy,Kifesi,Mwarabu,Mavoko...????
Uzi tayari??
Kunywa chai kwanza ndio uandike vizuri..
'Msani' ndio nini?
Hao psquare unaowachukulia kama reference unaona wako sawa kama walivyokuwa pamoja...ni watu wachache sana waliowahi kutengana wakatusua..
Harmonize yuko kama unavyomuona sababu ya management nzuri ya WCB akitaka tumsahau aondoke pale aende kwenye management nyingine ambayo itakuwa after pesa zake na umaarufu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Harmonize anabaniwa Wasafi?!..lakin tatizo Lipo pale wasafi dogo wameanza kumbania kiaina ngoma zake wanazichelewesha hadi ana mind ..dogo anajituma sana tena sana kuliko wasani ote pale wasafi dogo sio tena mtoto wakuburuzwa tu wanavyotaka mwenyewe Asha tengeneza mazingira mazuri Nigeria na Ghana na Kenya... wasafi wawe makini wakiendelea kumzinguwa dogo ataondokazake...kama walitengana wale mapacha wa Nigeria itashindikanaje harmo kuondoka wasafi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaamini kabisa leo hii tukitaja wana-WCB (excluding Diamond) waliotoa ngoma nyingi na kufanya collabo nyingi; Harmonize atakuwa ndie wa mwisho?! Hivi kuna anayemfikia Haromize pale WCB kwa kutoa ngoma nyingi na collabo nyingi?! Jana tu hapa kaachia 3 kwa mpigo pamoja na nyingine ambayo Diamond yupo!!Sio mkuuu mi mwenyew nawa mind sema tu uongozi wa wcb wanampelekesha vibaya uyu dogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha aisee..