Harmonize msani mwenye bahati sana

Harmonize msani mwenye bahati sana

Wakuuu hamjambo ..hope mmeamka salaam.. niende moja kwa moja kwenye mada ...Mmakonde Harmonize mziki wake ni mzuri sana yeye huwa anaimba kinacho eleweka na huwa atumiy sana matusi kama babaake mondi na dogo lake rayvany .. kwakweli dogo ndo anaongoza sasa ..lakin tatizo Lipo pale wasafi dogo wameanza kumbania kiaina ngoma zake wanazichelewesha hadi ana mind ..dogo anajituma sana tena sana kuliko wasani ote pale wasafi dogo sio tena mtoto wakuburuzwa tu wanavyotaka mwenyewe Asha tengeneza mazingira mazuri Nigeria na Ghana na Kenya... wasafi wawe makini wakiendelea kumzinguwa dogo ataondokazake...kama walitengana wale mapacha wa Nigeria itashindikanaje harmo kuondoka wasafi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap natumaini Diamond kasoma maoni yako na atayafanyia kazi.
 
Nimeikumbuka DAZ NUNDAZ
Uzi tayari??

Kunywa chai kwanza ndio uandike vizuri..
'Msani' ndio nini?

Hao psquare unaowachukulia kama reference unaona wako sawa kama walivyokuwa pamoja...ni watu wachache sana waliowahi kutengana wakatusua..

Harmonize yuko kama unavyomuona sababu ya management nzuri ya WCB akitaka tumsahau aondoke pale aende kwenye management nyingine ambayo itakuwa after pesa zake na umaarufu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..lakin tatizo Lipo pale wasafi dogo wameanza kumbania kiaina ngoma zake wanazichelewesha hadi ana mind ..dogo anajituma sana tena sana kuliko wasani ote pale wasafi dogo sio tena mtoto wakuburuzwa tu wanavyotaka mwenyewe Asha tengeneza mazingira mazuri Nigeria na Ghana na Kenya... wasafi wawe makini wakiendelea kumzinguwa dogo ataondokazake...kama walitengana wale mapacha wa Nigeria itashindikanaje harmo kuondoka wasafi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Harmonize anabaniwa Wasafi?!

NI matumaini yangu Konde Boy hatawasikiliza watu wanaomtia ujinga!! Rich Mavoko mlianza hivi hivi, na kadri siku zinavyoenda, Mavoko anazidi kutoweka! Muziki ni zaidi ya ujuavyo! It doesn't matter unajua kuimba kiasi gani; kwahiyo msianze kumtia ujinga hili kesho na kesho kutwa akianza kutumia drugs murudi kuwasemanga WCB!
 
Sio mkuuu mi mwenyew nawa mind sema tu uongozi wa wcb wanampelekesha vibaya uyu dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaamini kabisa leo hii tukitaja wana-WCB (excluding Diamond) waliotoa ngoma nyingi na kufanya collabo nyingi; Harmonize atakuwa ndie wa mwisho?! Hivi kuna anayemfikia Haromize pale WCB kwa kutoa ngoma nyingi na collabo nyingi?! Jana tu hapa kaachia 3 kwa mpigo pamoja na nyingine ambayo Diamond yupo!!

Acha uchonganishi bhana!!
 
Back
Top Bottom