Harmonize mtoto mbaya sana alichokifanya kwenye hii ngoma ni hatari tupu

Harmonize mtoto mbaya sana alichokifanya kwenye hii ngoma ni hatari tupu

Sema korede bello kidogo amvue kofia mdogo wngu harmonize, maana kanaimba kama hakataki lakini shughuli yake sasa ni mtafutano. But all in all very fantastic song, congrats sana mdogo wangu harmonize umetisha sana, keep in hustling.
umekurupuka toa tips wimbo unaitwaje umetoka lini je kuna video pia ama la, ikibidi uweke hapa pia
 
Back
Top Bottom