talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
ndo nareplay hapa mkuu...huyu dogo ni shida aise he is a simba mtoto for sure! [HASHTAG]#shulala[/HASHTAG] is fire, halafu utasema vichupa vikali ni kwa ajili ya WCB tu!Alafu ulete mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo nareplay hapa mkuu...huyu dogo ni shida aise he is a simba mtoto for sure! [HASHTAG]#shulala[/HASHTAG] is fire, halafu utasema vichupa vikali ni kwa ajili ya WCB tu!Alafu ulete mrejesho
Nauzikaga sana watu wanapokuwa wanamlinganisha rayvanny.....harmonize yupo kwny ligi yake peke yake pale wcbkwakweli niliisubiri hii collabo kwa muda mrefu frankly speaking wamegusa ka mtima [shula laa laa shula] saf sana
siwez ficha ukweli harmonize ni one man army alibebwa akabebeka sasa vitu vyake ni next levelNauzikaga sana watu wanapokuwa wanamlinganisha rayvanny.....harmonize yupo kwny ligi yake peke yake pale wcb
Ndo ukwl wenyewesiwez ficha ukweli harmonize ni one man army alibebwa akabebeka sasa vitu vyake ni next level
Simba mwenyewe alishasemaga,siku ya kwanza tu anamuona dogo aligundua kuwa ana kitu ndani yake!siwez ficha ukweli harmonize ni one man army alibebwa akabebeka sasa vitu vyake ni next level
Sasa wewe ndio mkurupuko OG.umekurupuka toa tips wimbo unaitwaje umetoka lini je kuna video pia ama la, ikibidi uweke hapa pia
Yah..siwez ficha ukweli harmonize ni one man army alibebwa akabebeka sasa vitu vyake ni next level
Ndio hunter naona wastaafu wa BAKITA mpo kazini[emoji23]Hunter hunter
wastaafu wa BAKITA hahahahNdio hunter naona wastaafu wa BAKITA mpo kazini[emoji23]
Kai modifyNyimbo karudia mjomba kuna wimbo ye mwenyewe alitoa unaitwa moyo
Jaribu na ww kuiga kama ni kazi rahisiPovu ruksa
Wimbo Wa kawaida...halafu wimbo ni Wa Korelede au Harmonize...naona Korelede kamfunika jamaaa
Nadhani mtihani Wa Harmonize ni kubadili melody...nyimbo zake zote zinafanana
Halafu stail ileile ya kumuiga Chibu..ajaribu kuwa na staili yake nae...binafsi sijaona kitu hapo
Nawapenda WCB,Ila huo ndo ukweli
Asante kwa ushauri...ila kuiga sio mbaya japo too much inaua creativity nakujiaminiJaribu na ww kuiga kama ni kazi rahisi
HaterAsante kwa ushauri...ila kuiga sio mbaya japo too much inaua creativity nakujiamini