Harmonize mtoto mbaya sana alichokifanya kwenye hii ngoma ni hatari tupu

kwakweli niliisubiri hii collabo kwa muda mrefu frankly speaking wamegusa ka mtima [shula laa laa shula] saf sana
 
siwez ficha ukweli harmonize ni one man army alibebwa akabebeka sasa vitu vyake ni next level
Simba mwenyewe alishasemaga,siku ya kwanza tu anamuona dogo aligundua kuwa ana kitu ndani yake!

He is now just proving practically what his boss was anticipating since then!
 
umekurupuka toa tips wimbo unaitwaje umetoka lini je kuna video pia ama la, ikibidi uweke hapa pia
Sasa wewe ndio mkurupuko OG.
Mbona kaweka link pale?
 
Povu ruksa

Wimbo Wa kawaida...halafu wimbo ni Wa Korelede au Harmonize...naona Korelede kamfunika jamaaa

Nadhani mtihani Wa Harmonize ni kubadili melody...nyimbo zake zote zinafanana
Halafu stail ileile ya kumuiga Chibu..ajaribu kuwa na staili yake nae...binafsi sijaona kitu hapo

Nawapenda WCB,Ila huo ndo ukweli
 
Jaribu na ww kuiga kama ni kazi rahisi
 
Huwaga nasikia nyimbo kujirudia leo ndo nmejionea. ... sijaenjoy honestly kama nmeshaisikia/iona zamani duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…