Harmonize na Diamond kuna dalili hawapo closer kama zamani kuna tatizo

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Hakuna mtu asiyejua kuwa Harmonize ndio alikuwa kipenzi cha Diamond platnumz, kila nyimbo walishirikishana na Diamond alikuwa akimpiga taff sana

Lakini kipindi cha hivi karibuni watu wakaribu pale wcb inasemekana kuwa kijana ameanza kumkera Boss wake, inasemekana kuwa Hamo sasa amekuwa mtu wa vilevi kupindukia kitu ambacho kimekuwa kikimuuzi Diamond platnumz

Pia inasemekana kijana kwa sasa hakamatiki pale WCB amekuwa na dharau baada ya kutoboa kimziki, kwa sasa hata Diamond hasapoti tena kazi za Harmo kwenye ukurasa wake kama zamani, Hata nyimbo mpya ya Tetema Harmonize hajaipost kabisa kwenye page yake ili kuonyesha ushirikiano

Ikumbukwe hata Rich mavoko alianza hivi hivi kupotezeana na wenzake, kitu ambacho watu walihisi ni kiki ya wimbo mpya lakini mwishowe Rich Mavoko akajitoa WCB
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipoona mlezi anamponda hadharani moja kwa moja kuna tatizo sehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
ingia hata insta harmo kajitenga kabisa na wenzie, hasapoti kazi za wenzie kama zamani kuna kitu sio bure, aoafu ikumbukwe mwaka jana harmo ndio alihit kuliko wasanii wote pale wcb alifanya vizuri sana

Na hadi Makonda kamsema hadharani si bure kuna kitu kinaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeh,hata hivyo muzikï wa makundi haupo duniani,ni hao tu wcb wanajikunyata kukingana baridi
 
Harmo alipost ngoma ya tetema kwenye kurasa yake ya ig lakini bado naamini pia harmonize hwako sawa na wcb haswa diamond maana baada ya post si diamond wala rayvanny aliye-react kwa kujibu au kulike post.
Karma is the female dog. Diamond waliomtoa wote kazinguana nao Papaa misifa, Bob Junior, Ali Salehe, Ruge Mutahaba, suka, majizzo dullah,na yeye ni mda wake naye kuzinguliwa
 
Tatizo domo anapenda kuabudiwa sana
Ila harmo anamzid domo sana kipaj cha kuomba ndio tatizo
Eti kaendekeza ulevi,walitaka awe kitombi kama domo ili asionekane mlevi?domo kinachomsaidia ni kupenda k#$ma kupita maelezo,ndio ulevi wake ,vinginevyo angekuwa anapiga gambe na bange kama wengine
Harmonize toka awe na Sara hajambato k nyingine,ila domo daily anabadilisha k kama aliletwa duniani kumbato tu
Amkumbuke marehemu k Wa bongo muvi,kwani Mungu kamwe hamfichi mnafki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata kama umemshika mkono mtu. haijalishi awe mtumwa wako milele.ikiwa kaweza kutembea mwenyewe. mwisho wa siku maisha lazima yaendelee!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…