Hakuna mtu asiyejua kuwa Harmonize ndio alikuwa kipenzi cha Diamond platnumz, kila nyimbo walishirikishana na Diamond alikuwa akimpiga taff sana
Lakini kipindi cha hivi karibuni watu wakaribu pale wcb inasemekana kuwa kijana ameanza kumkera Boss wake, inasemekana kuwa Hamo sasa amekuwa mtu wa vilevi kupindukia kitu ambacho kimekuwa kikimuuzi Diamond platnumz
Pia inasemekana kijana kwa sasa hakamatiki pale WCB amekuwa na dharau baada ya kutoboa kimziki, kwa sasa hata Diamond hasapoti tena kazi za Harmo kwenye ukurasa wake kama zamani, Hata nyimbo mpya ya Tetema Harmonize hajaipost kabisa kwenye page yake ili kuonyesha ushirikiano
Ikumbukwe hata Rich mavoko alianza hivi hivi kupotezeana na wenzake, kitu ambacho watu walihisi ni kiki ya wimbo mpya lakini mwishowe Rich Mavoko akajitoa WCB
Sent using
Jamii Forums mobile app