Harmonize na Jide, balaa na nusu

Harmonize na Jide, balaa na nusu


Vip mkuu alishawahi kuchungulia nyuchi yako nini, hebu mpumzisheni domo japo kidogo!
 
Hiyo ngoma aliyoshirikina na jide mawingu wataipiga kweli...

Hawatagi kusikia sauti ya jide kwenye vyombo vyao au bifu liliondoka na jasiri Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kile kipengele alichotajwa Diamond kwenye UNO huwa wanakifanyia mambo flani hivi hakisikiki na ni sekunde kadhaa sasa sijui wimbo itakuaje
 
Binafsi ingawa ni shabiki wa Diamond ila Harmo namkubali hususan kwenye lifestyle sijapata skendo chafuchafu kwa hilo hongera pia anajua kuimba aongeze creativity na juhudi zaidi atafika mbali ila ninchosikita ni kuyumba kwa mahusian kati yake na his former boss
 
Hawatashindwa kupiga ngoma nusu hawa mabedui wa wasanii wa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ndio wanasababisha mabifu kwa kuwashindanisha wasanii kupitia timu za mashabiki, unakuta issue inakuwa ndogo lakini wao wanajifanya kama wanamsapoti ila dogo na Lady Jaydee wanahitaji nishani maana kitambo sana wamechuniwa lakini mambo yao yanakwenda
 
Afro East mule kuna ile ngoma inaitwa “Mpaka kesho” yamoto sana. Album Launch imeifanya iyo Afro East kuwa kubwa sana lkn me cjaona ule ufundi wa kijana wa kimakonde. Ngoja nipime ndani ya week 2 hv lile vibe, kama bado itakuwa inatrend.

#WabongoSieWanafkiSana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom