Harmonize na Kajala kama si ushamba ni nini?

Ushamba ni pale unapoamua kuacha shughuli zako ukafuatilia maisha ya mwengn bila malipo
 
Hapo Kuna mmoja ni mshamba na mwingine ni mtumwa wa fedha kwa maana mwanamke anaetegemea makalio kuishi yupo tayari kufanya lolote tu ili apate fedha
 
Acha wivu kama unabisha zipo wapi hizo picha?
 
Mdogo wangu Hujambo..!?

Nimesikia leo umeamka Vema kabisa Mdogo wangu..!

KUNA SAFARI NA GAZETI..! Leo wacha nikuambie Kuhusu GAZETI najua unajua kwamba Bibi zetu kule wanaita GARAZETI lakini yoote maana yake moja tu isikuchanganye

Kuna kijana anaitwa joseph kayombo]] alinigusia Ununuzi wa MAGAZETI kwa siri sana Mdogo wangu KONDEBOY] nakusema kwamba niliwai kutamka kwenye Waraka wa NABIIMSWAHILI ibara ya 10 Kwamba

" UKIOA MWANAMKE ALIEKUZIDI UMRI NI SAWA SAWA NA KUNUNUA GAZETI JIONI"

sasa zipo Waraka nyingi za @nabiimswahili zinaweza kunukuliwa tofauti

Mimi nikutie nguvu na moyo [emoji3590] katika safari yako ya mapenzi na umedhihirisha kwenye Umma kwamba upo na huyo nikwambie hapa kuwa nae tu huyo ndio umemchagua ni wako Kula unachopenda usile UNACHOKUTA

Kila la Kheri mdogo wangu achana na hao watani wetu joseph kayombo]]

...!

KONDEBOY] joseph kayombo]] @nabiimswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…