Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Postmenopausal kigagula.Harmonize aache usengerama sasa piga mimba huyo slayqueen ofcoz demu yuko sexy sana
Huwa mnalazimishwa kuchangia? Usipochangia unashitakiwa?Tatizo sio kumpangia mkuu ni kuwa tumechoka kuwachangia ,hawa hawakawii kuomba wananchi au serikali iwasaidia pale unga unapozidi maji, hawakawii kutuwekea namba zao za Mpesa /Tigo pesa hadharani. Swine zao.
Sure, lisemwalo lipo, na km halipo basi lipo njiani linakuja.Ivumayo sana hupasuka... Kilio kitaenda kwa Harmo na si Kajala siku maji yakikorogeka..!
Watoto wa siku hizi wanaona kila kitu . wanaangalia vitu vya ajabu kuliko hii picha.Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu.
Na kugegedana, ni hivi majuzi tu huyu konde boy alikuwa Arusha kwa nabii mkuu msemaji wa serikali ya mbinguni, kaombewa katoa na sadaka akarudi ndani ya jiji la Amos akafikia kwa Kajala wake wakagegedana na kushoot kabisa.Wamerudiana?.
Mpiga picha ni Paula[emoji2][emoji2]Nimewaza tu mpiga picha wa hii picha ni nani maana wapo nusu uchi hapo[emoji4]
Kama ameshindwa kumpa mimba yule mzungu huyo mraxy atamuwezea wapHarmonize aache usengerama sasa piga mimba huyo slayqueen ofcoz demu yuko sexy sana
Wangepiga wamegeukia ukutani ndo ingekuwa picha bora sana
Nyie si ndio mnaowapenda hao wapo romanticAtakuwa anavuta sana eti? Nimeangalia weusi wa lips
Napenda huduma mengine navumilia,mbona naandika ivi kilasiku ☹️Nyie si ndio mnaowapenda hao wapo romantic
Lazima tujipe umuhimu sababu tunaombwa sio sisi tunaotoa namba na kulialia kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.Huwa mnalazimishwa kuchangia? Usipochangia unashitakiwa?
Acheni kujipa umuhimu ktk maisha ya watu.
Una matatizo wee sio buree, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima tujipe umuhimu sababu tunaombwa sio sisi tunaotoa namba na kulialia kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Huu siyo ushamba tu peke yake,ziada pia ni uzwazwa wa kiwango cha mavi na mikojoKutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu.
Yaan eti binti ndo alianza kuchezea libolo la harmo, mara mama akaingia kulichezea lakini harmo pia akawa bado anatamani ya binti....kajala ni mjinga sasa yale mameseji aliyavujisha kumfurahisha nan, ona sasa analala na mtu ambaye ata binti yake anajua ako vipi na show zakeKwa bahati Harmonise akazaa na Kajala, huyo atakaezaliwa atakua anamuitaje mtoto mkubwa wa Kajala?
Dada au mama mdogo?