Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Too late kumrekebisha Pale walipo
Mtoto kadhaonja ladha ya umaarufu ,Kajala na Paula wanakuwadiana Kwa mabwana
 
Is it worth it?
Unaweza kuwa na pesa, lakini ukawa mjinga jinga,
Ila mkwanja ukiwepo, harafu lishangazi, kama kajara linaleta kelele,lazima ulipe kubwa
 
unajua hata wanaosikilizaga haya manyimbo ya kina hamoniza na madiamond na mabongo fleva yote naaminigi hayanaga akili. huwezi kuwa na akili timamu ukasikiliza bongo fleva. nyie wote mambuzi tu na akili zenu hazina tofauti na hizo za kajala na hamonize, diamond na zali, kiba na mkewe na simbilisi zingine zote mnazozijua
 
Mkuu tulia uta chapwa24
 
Dah eti simbilisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wale na Mama Ake Wana maisha ya hovyooo sana Yaani hata kina Kardashians hawaishi hvyooo
Mdangaji hawezi kua timamu kamrithisha mtoto kipaji..watoto umri wake wako vyuoni wanasaka elimu,yeye anauza mbunye
 
Cmnt ya kibabe hii

Ova
 
Ujana maji ya moto Paula, kajala nae haoni soko lake limeshuka vibaya sana.
 
Kiki tumewashtukia
 
Kilichomkuta falaaaaa [emoji445][emoji444]badala ya kusaka miamalaa [emoji444][emoji444][emoji444]anakazana na penzi uchwaraaaa [emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
Aisee diamond alimchana vizur konde [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…