Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Huu mwandiko wa harmonize ndio ulifanya nimdharau hadi leo japo anazo ngoma kali.
Shile inaumuhimu wake hata kama 7namili pesa kiasi gani elimu inasaidia kuficha kiwango chako cha ujinga..kwa mwandiko ule unajua anachangamoto ya ujinga lakn pia na ushamba unamzidi anashindwa kung'amua nini aongeee aandike na kuwasilisha vipi hajui kujenga hoja poor grammar anaongozwa.na mihemko tu
 
Kina dada tuepuke kudate wanaume washambaa,watatukausha uzazi🙆🙆🙆Sio Kwa nyaraka hizo za hamani
 
Kwa mimi mtazamo wangu wa kulaumiwa wa kwanza kabisa kwa hichi kinachoendelea kati ya hawa wapenzi wa zamani ni DIAMOND. Diamond ndio chanzo kikuu, diamond kwa makusudi kabisa hakumpatia kijana wake Harmo elim ya kuishi na mishangingi ya mjini. Mbaya zaidi kamwezesha huyu mshamba wa Chitoholi kushika mafweza mengi.

This is unacceptable, kila mzazi anatambua urithi wa kweli ni elimu, Ni maarifa na wala sio fedha, sasa Diamond kafel wapi. Ipo waz Mondi aliweza kuishi na Shangingi la kimataifa na yupo freshi tuu. Wala hayumbi yumbi why huyo mtotoe anayumba kiasi hiki, haijapata kutokea mtu kuanika alivyoCHUNWA kama sifa. Harmo nimekuvua vyeo vyote.

Ila mbali na yote kinachouma zaidi ni Tatooo.
 
Kwa sababu wabongo upenda hizi mambo so kwao ni biashara
Yeah na zinavyotrend ndio mafanikio. Watu wanadhani harmonize au kajala hawajui kuwa wanachokifanya ni kibaya wakati wenyewe wanafanya biashara ziende
 
Huyo maza ana reality show? Channel gani?
Zamaradi tv, huwa nakutana na highlights zake kwenye social media. Kiufupi kama keeping up with Kardashians nilishindwa kuangalia, hii ambayo hata script zake hazijasukwa fresh siwezi kuangalia unless nipatane nayo kwenye mazingira ambayo siwezi kuepuka kuangalia
 
Shile inaumuhimu wake hata kama 7namili pesa kiasi gani elimu inasaidia kuficha kiwango chako cha ujinga..kwa mwandiko ule unajua anachangamoto ya ujinga lakn pia na ushamba unamzidi anashindwa kung'amua nini aongeee aandike na kuwasilisha vipi hajui kujenga hoja poor grammar anaongozwa.na mihemko tu
We mwenyewe muandiko wako unatia mashaka
 
Njaa ndo msingi wa yote hayo.Hao akina Kajala na mwanae,wanazurula tu,kwenye maloji,wakizizungusha.Siyo vizuri,wanaharibu maadili ya watu wazima na watoto.Serikali iangalie namna ya kuwafanyia kanselingi.

 
Mimi nilishajiapia kamwe sitokaa nisome maneno yaliyoandikwa kea herufi kubwa, Yaani huwa nahisi Kama mwandishi ananifokea na kunilizamisha nisome alichokiandika.
 
Kuna Kiki ya nyimbo mpya hapo wangese hawa wasitupotezee muda.
Kesho utaskia huyo mmakonde kaenda na maua kaomba msamaha.
Kasamehewa tutabaki ayaaa🙆‍♂️.
Hizo hadithi kahonga range ni upuuzi mtupu.
Gari inakodishwa hela ukiishiwa unarudisha.
Tuache kuongopeana na wavuta bange.
 
Back
Top Bottom