Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Wameamua wenyewe kwenda kwa walezi wao acha wafokewe tu, mwisho wachapwe fimbo kabisa. We mtoto mdogo unaenda kulivamia "shentele" kama wema!

Unajua kwa mbali tunaona wanafanya drama ila ukiwa karibu ni maisha halisi wanaishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Whozu anatamani kutoka ila anashindwa, kuna muda unamuona kabisa kachokaa
 
Ndo atulize "kipele" kilichomuwasha kumfata mama mlezi. Mama mlezi round hii acheki na mbuzi!
 
Hiyo dharau anaitoa Ili kufanya ureact....ila usipompay attention.....hakuna shida mkuu
Assume unaambiwa wewe huna lolote mara govi tu vitu vya uongo nikaona ananipanda kichwani nikatake one action tu ya kuonesha uanaume hadi Leo ananiogopa ningetulia angesumbua
 
Huyu mtoto ushamba na ulimbukeni vinamsumbua hiyo ndiyo ile wanasema "Masikini akipata matako hulia mbwata"
Mambo gani ya kumsimanga Mwenzio ilihali ulimsaidia kwa mapenzi yenu lakini leo mmeachana unasema kila kitu ulichomfanyia!
Kwann aitwe chizi
 
Mwanaume unaandikaje hivyoo asee huyu mmakonde mbona anaanza kulainika unajua mabasha huwa wanatamani vitu vya ajabu.
Kama anabishaa asome hicho alichoandika kwa sauti uone kama watu hawajadindishaa..
 
Hakika watu mna vipaji. Maana kusoma tu messages zake Ni changamoto. Naomba niulize,anamanisha kalala na Paula kweli?
 
Back
Top Bottom