Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Kwanza naomba wenye uelewa waniambie neno hapa....
Haya maneno ameyaandika mwanaume....!! Ama mwanaume amesaidiwa na mwanamke mwingine kuandika haya maneno ili amtumie X wake...??
 
6F418304-4452-4203-9F3F-4847F0494397.jpeg
 
Ukweli ninkwamba siwezi kusomaga miandiko na hati ya harmonizer
Af kibaya anaandika kwa herufi kubwa! Ila hawa wasanii sijui hawana watu wa kuwashauiri cha kuandika public! Tanzania msanii anayejua kubehave vizuri on social media ni Jux wengine wote matairaa tu!
 
Hili ndo jibu la kulala na vitoto....kabaki Zari tu kichwa ngumu
 
Hamna kazi ngumu kama malezi ,Shilole na uwaluwalu wake ila amejitahidi kuwaweka mbali watoto wake na mitandao ya jamii.

Kama kweli jamaa kala kuku na mayai yake, daah ni aibu.Ila ninaye muonea huruma ni Mario alipo ingia sio,mtoto wa juzi tu ila ndio anakitembeza hicho kipochi manyoya na watu wana kisugua haswa.
 
Leo ndio najua kumbe konde alimkula paula toka 2017 huko ina maana kipindi kile video zake zinavuja alikuwa anapasha kiporo[emoji51]

Ni muda Kajala ajitathmini sana maana sijui kama ana uchungu na huyu mwanae,mtoto ameijua mboo mapema alafu mbaya zaidi anataka kupita mule mule anapopita mama ake…kajala apunguze urafiki na mwanae kuna siku wataumbuka
Hawa hata threesome wanafanya kuna siku video zitatoka ndio aibu kuu ataipata
 
Back
Top Bottom