Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

Huyu mtoto ushamba na ulimbukeni vinamsumbua hiyo ndiyo ile wanasema "Masikini akipata matako hulia mbwata"
Mambo gani ya kumsimanga Mwenzio ilihali ulimsaidia kwa mapenzi yenu lakini leo mmeachana unasema kila kitu ulichomfanyia!

Inamaana hamjaona kajala kamsema sana ni muda tu hamo kakaa kimya
Kuna kitu hamjaelewa
Kajala aliachana na hamo lakini alikuwa hajui sababu ya kuachana ni nini,leo hamo kaongea nadhani kajala hatokuja kumuongelea tena ameshajua alikosea wapi
Inshort kajala aliiba kadi ya gari na hamo hakumuuliza aliamua kumuacha kimya kimya
Mwanamke ukimuacha kwa style hio lazima aumie sana
Kajala alijua hamo hawezi muacha labda alikuwa anatumia madawa etc ila kitendo cha hamo kumuacha bila kumpa sababu ndio kimemfanya aweweseke
 
Kajala anampenda mjomba nchumali.

Njomba nchumali nae ni chizi, amekosa UJENTROMENI ndani yake.
Yote 9, angeomba mtu awe anamuandikia, hii ni fedheha.😂

Pamoja na muandiko mbovu mjimba ncgumali huwa anaandika ngoma kali saana.
 
Mmoja anataka kiki muziki uende mwingine aongeze viewership kwenye reality TV show yao. Mbaya zaidi, Harmo hajawahi pata power couple kama aliyopata na Kajala maana hata ya Wolper haikuwa na hype kwa sababu, yeye alionekana kama anabebwa, vilevile kajala toka enzi za P funk, hajawahi kupata hype kama aliyoipata na harmo. Wote wanatumiana tu, no hard feelings zaidi ya biashara
Warudiane tu mpambano unoge zaidi
 
Inamaana hamjaona kajala kamsema sana ni muda tu hamo kakaa kimya
Kuna kitu hamjaelewa
Kajala aliachana na hamo lakini alikuwa hajui sababu ya kuachana ni nini,leo hamo kaongea nadhani kajala hatokuja kumuongelea tena ameshajua alikosea wapi
Inshort kajala aliiba kadi ya gari na hamo hakumuuliza aliamua kumuacha kimya kimya
Mwanamke ukimuacha kwa style hio lazima aumie sana
Kajala alijua hamo hawezi muacha labda alikuwa anatumia madawa etc ila kitendo cha hamo kumuacha bila kumpa sababu ndio kimemfanya aweweseke
Pamoja na yote lakini anatakiwa ajue kwamba yeye ni mtoto wa kiume hatakiwi ashindane na mtoto wa kike kujibizana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe huwa hucheki kama mimi...
Ila wamedumu wenyewe...

Niliona clip whozu kavaa mshati km braza K afu anafokewa na Wema khaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliona clip whozu kavaa mshati km braza K afu anafokewa na Wema khaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wameamua wenyewe kwenda kwa walezi wao acha wafokewe tu, mwisho wachapwe fimbo kabisa. We mtoto mdogo unaenda kulivamia "shentele" kama wema!
 
Back
Top Bottom