Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Watu wa Soka,
Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.
Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida.
Siku hili ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha kikosi kizima cha timu yetu ya Singida Big Stars sambamba na benchi zima la ufundi huku tukio zima kikichagizwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Zanaco ya Zambia ambao tayari wameshawasili nchini.
KOH KOH KOH! YAW YAW!