Harmonize na Rayvanny ndiyo wasanii wangu bora

Harmonize na Rayvanny ndiyo wasanii wangu bora

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka.

Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU wa Tanzania milele ninazo Ngoma zao tu Hawa jamaa.

1721412686798.png

Rayvanny

1721412847457.png

Harmonize
 
Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU wa tanzania milele ninazo Ngoma zao tu Hawa jamaa
Nasoma comments tu apa
 
Harmo anajua huyo mwingine hamna kitu ni kulamba tu lips na kurembua
 
Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka.

Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU wa tanzania milele ninazo Ngoma zao tu Hawa jamaa.

Wamkulipia kodi ya maisha yako au umepewa posho kama hawa
FB_IMG_1721410555941.jpg
 
Back
Top Bottom