Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo vizuri sana harmonize1. Kwangwaru
2. Teacher
3. Single again
4. Binadamu
5. Aiyola
Aisee kwa hapa Bongo hizo ngoma ukizipambanisha na ngoma ya Msanii yeyote hapa ngoma. Majaji wakawa ni wale wanaoujua muziki yaani hizo mapema tu zinatoboa
Yupi huyoYule Alie imba mtoto kautaka mtoto kautaka msanii 1
Kuna siku radio one kipindi cha nani zaidi alipambanishwa na Diamond, Diamond alipigwa gap la kura 15. Kwanza Diamond sijui huwa anaimba niniYupo vizuri sana harmonize
Huyo anapiga kelele alikua anaimba zamani Sasa hivi anapiga keleleKuna siku radio one kipindi cha nani zaidi alipambanishwa na Diamond, Diamond alipigwa gap la kura 15. Kwanza Diamond sijui huwa anaimba nini
Sijui nani ila nyimbo yake Kila sehemu wanaipigaYupi huyo
Mkuu na mimi shabiki wa harmo hilo ten nitumie kwenye mpesa 😹😹😹Ila harmo huyu jamaa namkubali natural tuu...
Hi jamaa inajua sana
Huwa nikikutana na shabiki wa harmo huwa na mbless 10k mkuu
Sijui nani ila nyimbo yake Kila sehemu wanaipiga
Ila Kwa aina ya hayo maneno kama sio mbosso sijuiSijui nani ila nyimbo yake Kila sehemu wanaipiga
Yupi huyo
Nibless na mm mkuu Fundi manyumbaIla harmo huyu jamaa namkubali natural tuu...
Hi jamaa inajua sana
Huwa nikikutana na shabiki wa harmo huwa na mbless 10k mkuu
Aisee sijaelewa Lamomy Wewe ni yupi hapo?Wamkulipia kodi ya maisha yako au umepewa posho kama hawa
View attachment 3046673
Daaah ujue niniIntro
Aweeh..
Si kamejichanganya haka ka Jackie umeme
kamejichanganya haka ka Jackie umeme
kamejichanganya haka ka Jackie umeme
kamejichanganya haka ka Jackie umeme x2
Huyo mtotooo
(Huyo mtotooo)
Masela huyo mtotooo
(Huyo mtotooo)
(Jaivah)
Chorus
Mtoto kautaa,mtoto kautaa
Mtoto kautaka,mtoto kautaka
Mtoto kautaa,mtoto kautaa
Mtoto kautaka,mtoto kautaka
Huyo mtotooo
(Huyo mtotooo)
Masela huyo mtotooo
(Huyo mtotooo)
Verse 1
Si kautaka mwenyewe huyooooo
Kawaletea wahuni shobo huyoo
Sisi kwetu hatumli kwa macho huyoo
Si kautaka umaarufu huyoo
Oya mwanangu Isiaka peleka moto
Chorus
Mtoto kautaa,mtoto kautaa
Mtoto kautaka,mtoto kautaka
Mtoto kautaa,mtoto kautaa
Mtoto kautaka,mtoto kautaka
Verse 2
Oya hapo kwenyewe vipi
(Hapo kwenyewe shega kautaka mwenyewe wahuni tunamega)
Oya hapo kwenyewe vipi
(Hapo kwenyewe shega kautaka mwenyewe wahuni tunamega)
Eti mtoto kalilia nini mtotooo
(Kalilia wembe)
Mtoto kapewa nini mtotooo
(Kapewa wembe)
Mtoto kataka nini mtotooo
(Kataka wembe)
Mtoto kapewa nini mtotooo
(Kapewa wembe)
Chorus
Mtoto kautaa,mtoto kautaa
Mtoto kautaka,mtoto kautaka
Mtoto kautaa,mtoto kautaa
Mtoto kautaka,mtoto kautaka
Mtoto kautaa,mtoto kautaa
Mtoto kautaka,mtoto kautaka
Mtoto kautaa,mtoto kautaa
Mtoto kautaka,mtoto kautaka
Sasa hapo itakuaje?Mimi binadamu sio vipande vya samaki mkuu
Mzee Diamond kamaliza vya kuimba japo akiamua kuimba ndio anatoa vyuma kama Zuwena na Yatapita. Kwenye ubora wake Diamond ni kisanga.Kuna siku radio one kipindi cha nani zaidi alipambanishwa na Diamond, Diamond alipigwa gap la kura 15. Kwanza Diamond sijui huwa anaimba nini
Una matatizo makubwa sanaYaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka.
Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU wa Tanzania milele ninazo Ngoma zao tu Hawa jamaa.
Legendary salama???Una matatizo makubwa sana
Sijayazidi ya kwakoUna matatizo makubwa sana