Harmonize na Rayvanny ndiyo wasanii wangu bora

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka.

Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU wa Tanzania milele ninazo Ngoma zao tu Hawa jamaa.


Rayvanny


Harmonize
 
Nasoma comments tu apa
 
Harmo anajua huyo mwingine hamna kitu ni kulamba tu lips na kurembua
 
Wamkulipia kodi ya maisha yako au umepewa posho kama hawa
 
Harmo anajua huyo mwingine hamna kitu ni kulamba tu lips na kurembua
Analambaje lips Sasa hizo chuki binafsi mbona harmonize ana pini puani watu tunasikiliza mziki mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…