Harmonize na uvaaji wa headband

Yaani huyo mmakonde kwa kuiga khaa, he doesn't want to be real kila kitu anaiga, mm ananiboaga
 
cc: harmorapa,, kwa taarifa tu harmorapa ataenda kuwapa pole Yanga kwa kupigwa 4G…!!! Source eatv kweny ukurasa wao wa facebook…!!!
 
Ukishajua kama yule jamaa ni Mmakonde basi huwezi kumlaumu hata kidogo.
 
Mimi Hamorapa nathema nimechoka kuthemwa themwa nitendelea kuvaa headband bila wathiwathi wala thida mpaka mnikome.
 
sure bro kifupi Ni fashen ya zaman Sana hiyo inakua Kama ushamba flan hivi
 
Umaarufu gunia la miba, mkuu wewe kuna anaekupangia cha kuvaa zaidi ya mkeo kama umeoa.

LL Cool J tokea namfahamu anavaa kofia za Kango zaidi ya 80% kila nikimuona.

Puff Dady na kijiti chake mdomoni kila wakati.

Mara nyingi celeb wanapenda kuwa na vitu vyao waonekane tofauti. Brand Identity na Brand Environment ni muhimu kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…