Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Wanabasketball wanazivaa ili jasho lisishuke mpaka machoni
Na yeye anavaa ili jasho lisishuke mpaka machoni mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabasketball wanazivaa ili jasho lisishuke mpaka machoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watamfanyia figisu mtoto wa watu maana wcb sio watumvuto!!! mbona hafurukuti mbele ya harmorapa.
OkNa yeye anavaa ili jasho lisishuke mpaka machoni mkuu
Ye anashootia lo ushamba mzigoWanabasketball wanazivaa ili jasho lisishuke mpaka machoni
amekuongezea ujinga, kinachozuia jasho kwenda machoni ni nyusi.nshukuru umenitoa ujinga[emoji23][emoji23]
wakati mwingine huwa linavujaa yanajaa machoniamekuongezea ujinga, kazi ya kuzuia jasho kwenda machoni ni nyusi.
yule sio wa masasi ni wa 'Tandahimba' masasi kwa wilaya zote za mikoa ya kusini ni bonge moja la brand yani ni sawa na 'Las Vegas' hakunamtu wa masasi aliepitwa na wakati teh teh teh.....Mapigo ya mwaka 2000 enzi hizo yeye yuko masasi
we jamaa bana!!!Kuna hirizi huwa anaweka hapo...
Ni kakake HarmorapaHarmonize ndo nani?
ni harmonize sio harmorapaMimi Hamorapa nathema nimechoka kuthemwa themwa nitendelea kuvaa headband bila wathiwathi wala thida mpaka mnikome.