Harmonize na Wimbo wake Mtaje

Harmonize na Wimbo wake Mtaje

Daaah! Nancy angemsikiliza yule msela nya... Leo angekuwa kaachika baada ya kuchuja au yupo vibarazani mabibo anagombana na wamama wenzie mambo ya marejesho ya vicoba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jamani khaaaah
 
Wakuu kama mjuavyo mtu wenu ambae chochote kibaya kizuri kwangu ndani ya Jf siwezi ficha wala kukaa kimyaa...

Dogo Harmo katoa nyimbo nzuri sanaa ila sasa hii nyimbo pasi na shaka kamuimbia bibi yetu Kajala. Kweli nyimbo iko bomba...
Ila Sa nacho jiuliza kipi hasa alicho pewa na yule Mama kiasi kwamba amuimbie nyimbo bomba kiasi kilee...??? Au alipulizwa.... Eeeh...???
Cheki alikuwa na Mzungu mara Wolper ila kwa nini yule Bi Mkubwa...?

Any way hayo ni maisha ya mtu ila kinacho niboa nyimbo nzuri sanaa sema tuu kamuimbia mtuu maalum.

Nyimbo jina lake "Mtaje... By Harmonize.

Yule bibi kizee Kaja anatoa kwa mpalange kama hana akili nzuri ndomana dogo alidata
 
Back
Top Bottom