Harmonize na Wolper mapenzi tele tele

Naomba kufanya reference Vipande vya Mashairi yafuatayo....

MOJA
Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana,
Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana,
Kwa wingi katika damu, tahamaki leo sina,
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana

MBILI
Owa siowe tambara, linukiyalo vibaya
Owa mwanamke jura, mlekeze njema ndia
Owa usiowe sura, kutaka kuzangaliya
Owa mzuri tabiya, mupendane na mkeo

TATU
Fikiri sana dunia, ina mzuri mdundo,
Fikiri sana yalia, ina mzuri mshindo,
Fikiri mwisho sikia, unapasuka msondo
Nasema fikiri mwisho na sio Mwanzo
 
Wolpa baada ya kutemwa na mkongo kachanganyikiwa haswa,anahisi anamkomoa sasa
 
Hizi tunaita kimjini real scene za wolper nimeangalia promo za kipindi mawingu tv ni kuigiza mwanzo mwisho
 
huyo wolper anajua kuchuna muulize dallas
 
Duh!bado natafakari....[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Wolper anapunguza stress za mkongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…