Harmonize na Wolper mapenzi tele tele

Harmonize na Wolper mapenzi tele tele

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] watoto wa sikuhz wapenda watu wazima saana
Naona imekuwa fashion siku hizi,sijui tunakwepa majukumu au kunavitu vya ziada tunapata ambavyo pengine hao manzi wa rika letu hawana?ngoja wajuzi wa mambo waje watiririke[emoji12] [emoji12]
 
Wapuuzi hawa..Yani kwenye siku ya kuzaliwa ya katoto cha watu ndo wanafanya upuuzi wao huu..Ningekuwa mimi ningewapopoa na mawe wakamalizie mambo yao ICU
mkuu. ulikuwa unataka huyo totoz nini.

swissme
 
Naona imekuwa fashion siku hizi,sijui tunakwepa majukumu au kunavitu vya ziada tunapata ambavyo pengine hao manzi wa rika letu hawana?ngoja wajuzi wa mambo waje watiririke[emoji12] [emoji12]
Hahahaa huko fb MPAKA huruma unakuta Ni bwana mdooogo anakwambia Umkubali atakpa kitu ambacho hujawahi kupewa na mkubwa mwenzio[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hahahaa huko fb MPAKA huruma unakuta Ni bwana mdooogo anakwambia Umkubali atakpa kitu ambacho hujawahi kupewa na mkubwa mwenzio[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahaha....kitu gani special ambacho anaweza kukudanganya nacho manake siku hizi hata yale mambo yetu ya kisasa kila mtu anayajua.[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Kazi ipo wazee wa bandari na tra wameacha ufadhiri wanaenda kunyonya washamba wa nangwanda sijaona
 
Namuona huyu Wolper kwenye kipindi cha Zamaradi(takeOne) aisee kavurugwa hatari... Inaonekana hata mi mchunga mbuzi naweza kumuopoa
 
Hahaha....kitu gani special ambacho anaweza kukudanganya nacho manake siku hizi hata yale mambo yetu ya kisasa kila mtu anayajua.[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ndo yapi mkuu[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ugonjwa umekaa sehemu nzuri na tamuu...Vijana wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Back
Top Bottom