Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Naona imekuwa fashion siku hizi,sijui tunakwepa majukumu au kunavitu vya ziada tunapata ambavyo pengine hao manzi wa rika letu hawana?ngoja wajuzi wa mambo waje watiririke[emoji12] [emoji12][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] watoto wa sikuhz wapenda watu wazima saana