mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Me kale kademu kaigizaji sasa hivi kanafanya matangazo na airtel Iren paulMkuu kweli harmonize nimekuvulia kofia hatari sana ongera umetimiza ndoto zako na mm ndoto zangu kwa rose ndauka nampeda sana aisee
Umeonaee mkuu mm mwenyewe siamini navomjua wolper sio MTU wa maserenget boy nahis hii itakuwa wanatengeneza kick ili kupata attention ya mashabiki kwnye Kazi zao zinazokuja especially harmonizeKweli ni ngumu sana kuamini hii kitu, si bure
We tunafanana kihisia,yani huyo ndauka ananitoa sana udenda...sema mi nna na kabonus coz namtamani sana na huyu Batuli aise(yobneshi).Mkuu kweli harmonize nimekuvulia kofia umevua chupi ya wilper dah hatari sana ongera umetimiza ndoto zako na mm ndoto zangu kwa rose ndauka nampeda sana aisee
Oy punguza jazbaWapuuzi hawa..Yani kwenye siku ya kuzaliwa ya katoto cha watu ndo wanafanya upuuzi wao huu..Ningekuwa mimi ningewapopoa na mawe wakamalizie mambo yao ICU
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] watoto wa sikuhz wapenda watu wazima saanaIla kiukweli sisi vijana ni marisk taker sana,hivi huyo wolper kweli ndio wa kujiopolea??Sina hakika Harmonize hata miaka 25 kafika.Afu kama sijakosea hata Diamond amemkula huyo bidada sasijui kama ni mwake kumpanda shemeji yako na hapo sijui kama tutafika umri wa kustaafu kwa hiari wa miaka 55.
Jamani nimeongea tu[emoji87] [emoji87] [emoji87]