Harmonize na Wolper mapenzi tele tele

Hawa vijana wa bongoflava vichwa vyao vibovu baada ya kuchukua kitu kibichi portable wanakimbilia mimama ilishachoka
 
Acha Dogo apige mambo kwani shida nini? Wanawake wanapenda watu maarufu,mikasi ya uhakika lkn wana intuitive knowledge inayoweza foresee what is coming hongera sana Wolper na pia Dogo kamatia hiyo ngoma kisawasawa INA stress balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…