Harmonize: Nafiti kuimba na kucheza kama Diamond

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
533
Reaction score
739
Mkali wa WCB harmonize amejigamba kuwa yeye hufiti style zote za diamond za kuimba na kucheza katika mziki. Mkali huyo amesema hayo kutokana na watu wengi kumkejeli kuwa huwa anapenda sana kumuiga bosi wake diamond kwa kila kitu

Ndiposa akaamua kuwajibu kuwa style ya uimbaji wa diamond pamoja na uchezaji wake anaufiti kwa asilimia mia moja ndio maana ameamua kuimba na kucheza kama yeye. Pia harmonize ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo katika mipango ya kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni.
 
Mmakonde Mmakonde tu hata akiwa milionea akili hazibadilikim
 
Ndio maana mdogo wako Harmorapa kakufunika
 
HAHAHAH H armonize aangalia sana Harmo Rappa anakuja juu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…