Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 739
Mkali wa WCB harmonize amejigamba kuwa yeye hufiti style zote za diamond za kuimba na kucheza katika mziki. Mkali huyo amesema hayo kutokana na watu wengi kumkejeli kuwa huwa anapenda sana kumuiga bosi wake diamond kwa kila kitu
Ndiposa akaamua kuwajibu kuwa style ya uimbaji wa diamond pamoja na uchezaji wake anaufiti kwa asilimia mia moja ndio maana ameamua kuimba na kucheza kama yeye. Pia harmonize ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo katika mipango ya kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni.