Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Hako kamakonde kanapenda sifa sifa na kujimwambafai hivi,,,, mie toka aanze kusifia ndege sijui nini nilishampuuza ndugu zake wengine mpaka leo hawajalipwa korosho ye anaongea ushubwadaIla sijui nani alimshaurigi kusuka na kuweka rangi hiyo kwenye nywele.
Mwanzo alikuwaga na muonekano poa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app