Harmonize naona umeanza kututisha sasa

Ila sijui nani alimshaurigi kusuka na kuweka rangi hiyo kwenye nywele.
Mwanzo alikuwaga na muonekano poa sana.
Hako kamakonde kanapenda sifa sifa na kujimwambafai hivi,,,, mie toka aanze kusifia ndege sijui nini nilishampuuza ndugu zake wengine mpaka leo hawajalipwa korosho ye anaongea ushubwada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Macho ya watu wengi yapo kigoma kijana kafanya time mbaya hiyo imepelekea kukosa attention ya watu.

Kila mmoja anatembelea nyota yake n ana fans wake. Mond bin laden ata vuta wake n jeshi ata vuta wake all in all wote wako kusaka tonge


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wamakonde wana tabu sana, wengine wanakuja kwa baiskeli kutoka Mtwara kuja kuangalia mechi ya Simba na Yanga, sasa sijui watalala wapi!
Mbona Dar sehemu za kulala zipo nyingi sana,Watu wa dar ni wakarimu sana ujue
 
Hako kamakonde kanapenda sifa sifa na kujimwambafai hivi,,,, mie toka aanze kusifia ndege sijui nini nilishampuuza ndugu zake wengine mpaka leo hawajalipwa korosho ye anaongea ushubwada

Sent using Jamii Forums mobile app
Unampuuza Mmakonde kwa kusifia ndege wakati huo huo unamwabudu domo kwa kuimbishwa Bashite babalao. Wabongo kw unafiki 100 100
 
Ubunge kaukosa kwan kavua nguo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inanifanya niamini duniani kuna unafiki mkubwa sana.. unakuta kuna wadau wanamsifia kapendeza na hayo madude kichwani... ni sawa na rayvanny sijui walio karibu nao hawawaambii
Mtu kama huyu [emoji121][emoji121]angekuwa msanii nahakika asingefikisha hata miezi 2 ya usanii

Hajui nini sanaa anaandikaandika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harmonize kaja jana saizi anakaa masaki, anavaa mashati sikuhizi hafanani kukaa masasi...

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…