Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa bado hajaweka number plate? 😀😀😀😀View attachment 345354
Habari zenu wakuu.
Kwa sasa sio jambo la ajabu kwa msanii wa TZ kuwa na usafiri,ila kilichonishangaza kwa msanii Harmonize kwa kipindi kifupi tu kuweza kumiliki gari aina ya Mark X ina maana DIAMOND anamlipa vizuri sana
Sasa si hio hapo old model ya harrier maana harrier zipo model tatu tuNi kweli hii hapa.
View attachment 345788
View attachment 345354