Harmonize ndani ya usafiri mkali

Ila hanscana ana harrier old model...
 
View attachment 345354

Habari zenu wakuu.

Kwa sasa sio jambo la ajabu kwa msanii wa TZ kuwa na usafiri,ila kilichonishangaza kwa msanii Harmonize kwa kipindi kifupi tu kuweza kumiliki gari aina ya Mark X ina maana DIAMOND anamlipa vizuri sana
Alikuwa bado hajaweka number plate? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndio, na hadi leo hii nimemuona anaiendesha hivo hivo tu.
 
View attachment 345354

Habari zenu wakuu.

Kwa sasa sio jambo la ajabu kwa msanii wa TZ kuwa na usafiri,ila kilichonishangaza kwa msanii Harmonize kwa kipindi kifupi tu kuweza kumiliki gari aina ya Mark X ina maana DIAMOND anamlipa vizuri sana

siku hizi kuna bishara nyingi iliyojificha nyuma ya mziki kwa hyo usishangae
 
Hizo biashara halali au haramu .............. kama ni haramu zitaje ili Uncle Magu awatumbue isifiche.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…