othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,995
- 2,795
Kiukweli wamepita wasanii wengi Tanzania wenye weredi na ubunifu mkubwa walitunga tungo zenye kubamba haswaa ila katika kizazi hichi tulicho sasa wapo wengi wanafanya vizuri Ila huyu mmakonde Harmonize ni mbunifu kwakweli mimi hii wimbo wake wa MTAJE bila kuangalia ujumbe imetulia sana.