Harmonize ni msanii aliyekosa ‘Focus’

Harmonize ni msanii aliyekosa ‘Focus’

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Harmonize Ni msanii mzuri aliyekosa focus ajui kipi Cha kusimamia na kipi cha kusimamia leo atakuja na hili kesho yake atakuja na lingine ataacha la mwanzo.Alivyotoka wasafi alianzisha bus la mgahawa wakutoa chakula bure lakini imeishia njiani sasa sijajua alikuwa ana Nia ya dhati au alikuwa ana tafuta public sympathy ili apate mashabiki baada ya kupoteza mashabiki wengi wa WCB?

Mwaka Huu kamtambulisha msanii wake ibra kwenye label yake ya konde gang baada tu ibra kutambulisha wimbo mpya muda mfupi harmonize katoa bedroom remix ajampa kabisa airtime ya msanii wake kusikilizwa hii imesababisha bedroom remix kufeli na at the same time msanii wake kufeli.

Me nazani Harmonize angefocus kujiinua binafsi kuliko kuanzisha label ajafika kabisa level ya kuanzisha label asimilia kubwa wasanii wanaoanzisha label Ni wale ambao wamefanya vizuri Sana na wameacha legacy ya mziki mondi kaanzisha label ya WCB ikiwa teyali amefanya mambo makubwa bongo na yupo on top amekuwa top 4 ya wasanii wanaofanya vizuri Africa alishatengeneza connection muda mrefu na ametengeneza mashabiki wengi wengi kwenye mziki na wafuasi, angalia Don jazzy na label yake ya Marvin Ni msanii ambaye alishatengeneza fan base kubwa Africa lakini pia ana respect ya mziki wake.

Level aliyeitengeneza akiwa WCB tofauti na level aliyopo sasa, sasa hiv Harmonize kufikisha tu viewers mil 1 Ni ngumu sawa na mlevi kuona uzima wa milele ukiangalia tu kupata show za nje imekuwa tabu kupata tofauti na alipokuwa wasafi ukiangalia pia kwenye mauzo ya digital amekuwa Ni msanii wa tatu akiachwa nyuma na Rayvanny wakati alivyokuwa wasafi akitoka diamond msanii anayepata mauzo mengi ya digital Ni Harmonize ukiangalia hivyo unaona kabisa kwanini asifocus kujiinua zaidi kuliko kufocus na mambo ambayo yapo juu ya uwezo wake.

Jana nimeshangaa anataka kumrudisha eti Rich mavoko wakati qchilla kashindwa kumrudisha na hapo hapo anataka ibra aende mjini na nimeshangazwa pia na namna alivyoandika kuhusu rich mavoko kaandika as if rich anafanyiwa figisu na yeye Ni mwema hivi Hawa Nani aliwadaganya kutafuta public sympathy ndio njia ya kupata mashabiki royal? kwanini usifanye mziki mzuri hao mashabiki watakuja tu automatically kuliko hiyo njia.

NB: kondeboy focus kwenye kujijenga na kupata mashabiki wako royal kuliko kurukia rukia mambo na kutafuta kiki ambazo hazina maana unapoteza hela za Sara na za kwako bure.
 
Hugo dogo roja wa chitoholi usimfatilie unapoteza muda wako bure
 
Anafeli pakubwa sana, ngesubiri auone upepo wa tuzo kubwa africa kwa mwaka huu upoje..then ajue cha kufanya....either kutoa mawe juu ya mawe or kutangaza wasanii wake hajafikia ukubwa wa kumtafutia jina upcoming musician
 
Yani akitambulishwa msanii mpya na label flani msanii mwingine wa hiyo label anapaswa kusitisha shuhuli zake??
Yani Harmonize asitishe kupush album yake kwasababu Ibarh katoa EP yake???

innocent dependent Konde Music World wide ni ofisi na ina wasanii wawili na kila msanii ana budget yake na project zake ambazo hazina mahusiano na mwenzake as kila mmoja ana account zake.
 
Upo shallow Sana kwenye kujibu hoja level yako ya elimu sijui Ni ipi?
 
Harmonize nazikubali sana nyimbo zake jamani, yani toka yuko wcb ni msanii ambae i cnt wait kusikia nyimbo zake, hata sasa bado naukubali mziki wake mana ushabiki maandazi siwezi, kwangu mimi its all abt good music. But.

Namuona anahangaika saaana, kwanza its like survival yake inategemea kumuiga mond, pili anatumia kingi kuliko anachoingiza hiyo yote apate ku prove a point kwamba naweza, alafu ile tabia yake ya kujinyenyekeza kinafki na kutafuta tafuta huruma za jamii inanikera ile mbaya, na kujifanya wa hekima sana kumbe nyuma ya pazia he is just another ungrateful maskini akipata.

Halafu kitu ambacho watu hawakijui, watu wanazani harmonize ndo alianza kutaka kujitoa wcb lakini ukweli ni kwamba waliitilafiana na mond so uongozi wakaamua kumuondoa, yeye harmonize akajitahidi kuondoa ile tofauti ili aendelee kubaki wacb mpaka kwenda kuongea na mama diamond lakini Diamond alikataa katakata ndo mwisho wa yote ikabidi akubali kwamba inabidi atoke na kuanza kujionyesha kwamba anataka kutoka lakini ni kwamba ilikuwa atolewe
 
Huu upupu kawadanganye kijijini kwenu huko.. Wasikojua chochete kuhusu harmonize na Wcb

Au tafuta interview mbalimbali za kuhusu hili saka ukishaunganisha dot njoo ufute hii pumba yako hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom