Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Harmo ana kipaji na ni mpambanaji ili alifanya haraka kutoka WCB halafu kwa nyodo! Haiba pia inamponza pamoja na management mbovu aliyonayoMauzo ya nyimbo kazidiwa hadi na Zuchu ambaye kaja kwenye mziki ana mwaka tu kwenye platform zote kama spotify n.k kwa style hiyo atampoteza Nani? Show zenyewe anazofanya zinabuma mashabiki wanaingia wachache mfano mzuri ni hiyo aliyofanya USA Tena kafanyia club alafu kashindwa kujaza hapo kuna msanii kweli Wakumtisha Diamond ? Tuzo zenyewe tu kuwa nominees ni tabu kwake achilia tu kupata
Mmea Jr
Qwy
Mshana Jr
Akiweza atulie ajipange vizuri...apotee hii miezi mitatu mpaka Dec, aonekane hadharani mara chache na kwa matukio maalum...
Ajipange ajibrand upya... Asitoe tena mipasho..arudi kuwa yule Harmo wa WCB..Ampe Mondi heshima yake kiutu uzima.. Huo ni ukomavu..! Ajitenge na media zenye nia ya kumkosanisha na washindani wake..
Management yake AKIWEZA aifanyie overhaul..Aajiri watu wenye uwezo wa kumtoa hapo alipo...atafika mbali