Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Acha kunipangia maisha. Hivi mnaogopa kufa? Kifo kipo na ipo siku kila mtu atakufa.hata kama ni kwa mapenzi, naomba usikufukuru!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kunipangia maisha. Hivi mnaogopa kufa? Kifo kipo na ipo siku kila mtu atakufa.hata kama ni kwa mapenzi, naomba usikufukuru!
Dogo ako [emoji123] sanaHarmonize kweli anakimbiza sanaaa hasa ukitembea kumbi nyingi za Starehe ngoma zake ndo zina bamba sanaaa.
Hata Kajalee naona kama anamuwaza dogo sana hasa na Post zake kule Inst.Na hisi kwa jinsi anavyo kubalika.
Anangoma zikigongaa hatarii na jamaa hana shobo japo watz wengi wanaaminishwa bila WCB basi haujui...mziki
Kweli Diamond amesaulika sana kwa kweli.
Bila kuleta timu Mondi ama Tim Harmo.
Harmo kwasasa Nyota nzuriii.
Wivu tuMamie hujiulizi kwanini asilimia kubwa wanapinga hoja yako?
Nakubaliana na mtoa post 100%Harmonize kweli anakimbiza sanaaa hasa ukitembea kumbi nyingi za Starehe ngoma zake ndo zina bamba sanaaa.