Harmonize nimekunyooshea mikono juu you are talented..! Shuhudia collaboration mpya Marioo ft Harmonize..!

Harmonize nimekunyooshea mikono juu you are talented..! Shuhudia collaboration mpya Marioo ft Harmonize..!

Naskia vikoozi tu kama hosptal ya wagonjwa wa kifua kikuu pale Kibongoto...kama sigara haziwez mwambien aache
Labda kikohozi ndiyo identity yake mwamba [emoji12][emoji12][emoji12]

Awe balozi wa kifua kikuu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
For me sijaona ukali wa Hiyo ngoma kuanzia melody, beat mpaka corus labda uniambia kwenye uandishi angalau wamejitahidi
Uzuri unajulikana wazi hakuna asiyekujua chawa mkuu.
IMG_20220322_223135.jpg
 
Tuache UNAFIKI

Mimi si shabiki wa Hawa vijana wote wawili Ila wimbo huu ni hatari

Na harmonize kaua humu ndani.
 
Back
Top Bottom