Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
Labda kikohozi ndiyo identity yake mwamba [emoji12][emoji12][emoji12]Naskia vikoozi tu kama hosptal ya wagonjwa wa kifua kikuu pale Kibongoto...kama sigara haziwez mwambien aache
Hahaha!linawezekana pia...anaweza kula teuzi kwa kile kikooziLabda kikohozi ndiyo identity yake mwamba [emoji12][emoji12][emoji12]
Awe balozi wa kifua kikuu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri unajulikana wazi hakuna asiyekujua chawa mkuu.For me sijaona ukali wa Hiyo ngoma kuanzia melody, beat mpaka corus labda uniambia kwenye uandishi angalau wamejitahidi
Badala yake wamekuja timu Kiba soma comment #12, inaonekana wa usafini hawavujiwa na uzi husika.Ngoja waje wale wausafini uone povu lao.
Hivi Bushoke Yuko wapi siku hizi??
Mwenye Contact yake naomba anipm🧐