Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Axa kukariri videsa vya first year mkuu ximba nondo
 
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
Unakumbuka alipomtoa lakini?
 
Dogo anaharibu sana kuwatukana Wasafi.

Nimesikia anasema alikuwa hayupo huru ndani ya Wasafi eti anafurahi kupata interview clouds alimis kuwa na amani.
Kipindi anatoka watu walimdiss dogo kuwa hatofika mbali ila Mond alimkingia kifua mpaka alipo Leo ila hayo ndo anayolipa baada ya kufanikiwa
 
Unakumbuka alipomtoa lakini?
Ogopa Sana Kupewa Msaada Na Vijitu Viswahili Swahili.

Hata Kama Kikikupa Msaada Wa Maji Ya Kandoro

Kila Wakati Utasikia Nimekusaidia Sana, Bila Wewe Hukuwa Lolote
 
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
Aiseee,hatari sna
 
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
Sasa anamlilia Nani wakati kipindi anafunga mkataba alikua yeye na wazazi wake namshauri alipe na kuanza kupambana ata sisi shabiki zake tutamuona wa maana

Ila sisi shabiki zako unapokua unasema et umekua huru ulikua umebanwa tunakushangaa piga kazi mwanaume kulalamika kama dem yupo kitandani yanini wewe konde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…