Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Amekuuliza hilo swali makusudi maana unaongea bila kufikiri....Hivi hakuona hivyo vipengele wakati ana saini?
wewe uliviona kama vilikuwepo? malalamiko kwenye kuvunja mkataba huwa hayaishi na watu huwa wanakuwa na sababu zao za msingi bro so sitakuelewa unaniambia nini hadi unithibitishie kwamba ulikuwepo na ukaviona otherwise ww ni mwamba ngoma unavutia kwako
 
Nielekeze na mimi nka chukue ya mkopo..kitaani wajue cash[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wabongo mna jua kuandika
Una taarifa zile V8 mbili za zawadi jamaa kachukua kwa mkopo na siyo cash ila huku mtaani watu wanajua jamaa katoa cash zaidi ya 400
 
Bora amejitoa, kama hata 500mil tu alikua hana hadi auze nyumba inaonyesha wazi alikua halipwi vizuri, level ya Harmonize hatakiwi kukosa 1 billion kwenye account imekaa tu. Huyu ni msanii mwingine anakimbia wasafi, ukiona hivyo jua kuna kitu, Mond inaweza kua ni boss mbaya sana, watu walivyo wajinga wakimpenda celebrity wanahisi kila anachofanya ni perfect, wanasahau ni binadamu walewale tu.
Muwe na vichwa vya kuelewa.. Kasema Mil 500 na gharama ya kila nyimbo aliyotengeneza akiwa wasafi.. Which means inaweza kufika bil 1.. Maana nyimbo za wasafi ikiwa cheap ni dola 15.000
 
Bora amejitoa, kama hata 500mil tu alikua hana hadi auze nyumba inaonyesha wazi alikua halipwi vizuri, level ya Harmonize hatakiwi kukosa 1 billion kwenye account imekaa tu. Huyu ni msanii mwingine anakimbia wasafi, ukiona hivyo jua kuna kitu, Mond inaweza kua ni boss mbaya sana, watu walivyo wajinga wakimpenda celebrity wanahisi kila anachofanya ni perfect, wanasahau ni binadamu walewale tu.
Suala la kuwekeza pesa ni akili ya mtu.

Pia kumbuka hata hizo nyumba zimetokana na jasho la wasafi.
 
Hii nchi kila kitu ninmipasho,akitoka mbunge chama A kwenda B ni manenomaneno,mtu akiunga mkono ni domo,mtu akitoka kwaya moja kwenda nyingine ni kelele tupu.
Muwe na akiba ya maneno,katika kutafuta upepo hauwi na ahadi ya kudumu kusukuma tanga,siku ukitaka kurudi utapata shida ya kutoa maelezo.
 
Ila hapa ndo huwa nasema maisha ya kuigiza siku zote in ghalama! kwahiyo mbwembwe zoooooote hata million 500, imemtia jasho???? mpaka ameuza vibanda 3 na bado hajamaliza den??? sasa huo utajili ambao huwa wanajitapa uko wapi???????????? hiv wanaelewa maaana ya utajiriii
You niggas better remember losers never love a winner, Bitches never love a loser, beggars never can be choosers.
 
Back
Top Bottom