Harmonize: Nitagombea Ubunge kutimiza maagizo ya Magufuli

Usimchukie sana
Simpendi Harmonize jamani
Spendi muonekano wake,mziki wake,uongeaji wake,scandals zake,uchezaji wake unaboa kinyama!

Harmonize kama utapita hapa tambua kuna member hapa JF hakukubali hata kidogo
 
Asa kama wewe huwa unampigia nyeto unalazimisha wote tumpigie nyeto?
Usilazimishe upendo kwenye chuki bhana weeeee

Wewe mpigie nyeto kivyako,mie nimeandika uhalisia uliopo
Jibu la kibabe
 
Simpendi Harmonize jamani
Spendi muonekano wake,mziki wake,uongeaji wake,scandals zake,uchezaji wake unaboa kinyama!

Harmonize kama utapita hapa tambua kuna member hapa JF hakukubali hata kidogo
Chuki alokufunza nani? hauzaliwi nayo ila unaikuta ukubwani

Una uhakika yeye anakupenda?
 
Ila Magufuli alikua kaamua kutujazia vilaza bungeni😎

Vilaza ni rahisi sana kufuata maelekezo bila kuhoji,lengo la JIWE lilikuwa kuwatumia hao "WABUNGE WA HISANI" kubadili katiba ili aweze kuongoza tena baada ya miaka 10 yake kuisha.

Kessy aliondolewa purposely ili isionekane dhamira yake aliyoitoa wakati wanataka kumaliza bunge la 2015-2020 ila 2020-2025 walizalishwa wakina Ally Kessy wengi walioanza kuja na Aongezewe muda.

Mungu aliona mbali akaamua kufanya yake kutuepusha na sintofahamu ambayo angeweza kuileta.
 
Alipoteza fursa sasa angekiwa bungeni
 
Tumeshapindua ukurasa na tumeshabadili kitabu, namshauri abaki na usanii wake atafika mbali... Mbeleko haipo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…