Harmonize: Nitagombea Ubunge kutimiza maagizo ya Magufuli

Mzee aliongea kiutani kabisa hakumaanisha.....kuthibitisha hilo ajaribu kugombea then kura zitatuambia...na hivi mzee hayuko...asahau kabisa..kina Tale walipita kwa hisani ya the late Mzee na kwa sasa hayupo...bora arudiane na Sara aendelee kuhongwa.
Hapo unatulisha matango pori, kwenye kula za maoni ndani ya chama alipita kwa kura nyingi tu, kwenye uchaguzi hakuwa na mshindani alipita bila kupingwa, waliopita kwa hisani ni wale walioshindwa kwenye kura za maoni lakini chama kikawateua wao.
 
Simpendi Harmonize jamani
Spendi muonekano wake,mziki wake,uongeaji wake,scandals zake,uchezaji wake unaboa kinyama!

Harmonize kama utapita hapa tambua kuna member hapa JF hakukubali hata kidogo
Dadaa unataka kusema akikuomba papuchi yako utamnyima sio?
 
Tangu alivoenda nayeye central police ili raivany afungwe nimemuona jamaa wa hovyo kabsa na bomba la snitch pumbavu kabsa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…