Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Hapo unatulisha matango pori, kwenye kula za maoni ndani ya chama alipita kwa kura nyingi tu, kwenye uchaguzi hakuwa na mshindani alipita bila kupingwa, waliopita kwa hisani ni wale walioshindwa kwenye kura za maoni lakini chama kikawateua wao.Mzee aliongea kiutani kabisa hakumaanisha.....kuthibitisha hilo ajaribu kugombea then kura zitatuambia...na hivi mzee hayuko...asahau kabisa..kina Tale walipita kwa hisani ya the late Mzee na kwa sasa hayupo...bora arudiane na Sara aendelee kuhongwa.