Harmonize: Nitagombea Ubunge kutimiza maagizo ya Magufuli

Huyu Jamaa ni boya Sana, ivi haoni kwamba majimbo yote yamejaa, Hata Bashiru hana jimbo, na hakuna jimbo jipya litakalo anzishwa.
 
Kwa teketi ya CCM kama tutaenda nayo hivi hivi hupiti kabisa endelea na muziki wako na nywele zako utafikiri mkongo!
 
Hii ndio aina ya watu mwendazake alitaka kutujazia bungeni? Inasikitisha.
 
Ila hili bunge likimaliza muda wake ndiyo litakuwa bunge la kwanza ambalo karibu nusu ya wabunge wake hawatarudi tena bungeni baada ya uchaguzi
 
Umechelewa
Wasaalam wana Jf.

Msanii wa muziki bongo fleva almaarufu Kama harmonize ameeleza kuwa atagombea Ubunge kuonesha heshima kwa hayati JPM baada ya kumpa maagizo hayo kabla ya umauti kumfikia.

Msanii huyo ameeleza siku ya leo akihojiwa na wanahabari wa kituo Cha televisheni Cha UTV.

Harmonize amesema.....

Nimeona Ni heshima kubwa sana ambayo mheshimiwa aliyekuwa Rais wa JMT Dr JPM aliyoionesha kwangu kwa kuniambia nafaa kugombea Ubunge,na huu ulikuwa Kama Ni ushauri mzuri kwangu na ninachukulia Kama Ni mzazi wangu kwakuwa alikuwa akitupa ushauri mara kwa mara
 
Uchafuzi ulioitwa uchaguzi huu uliopita ndio ilikuwa nafasi yake pekee kuweza kuingia mjengoni pamoja na kina mwana fa bt sielewi kwanini alizubaa hakuchukua fomu ungekuta yupo mjengoni tayari, bt kwa sasa tunasema Imeisha hyoooooooooo.
 
Kitambi anacho tayari, kwahiyo anafaa kuwa mbunge wa CCM
 
Wasaalam wana Jf.

Msanii wa muziki bongo fleva almaarufu Kama harmonize ameeleza kuwa atagombea Ubunge kuonesha heshima kwa hayati JPM baada ya kumpa maagizo hayo kabla ya umauti kumfikia.

Msanii huyo ameeleza siku ya leo akihojiwa na wanahabari wa kituo Cha televisheni Cha UTV.

Harmonize amesema.....

Nimeona Ni heshima kubwa sana ambayo mheshimiwa aliyekuwa Rais wa JMT Dr JPM aliyoionesha kwangu kwa kuniambia nafaa kugombea Ubunge,na huu ulikuwa Kama Ni ushauri mzuri kwangu na ninachukulia Kama Ni mzazi wangu kwakuwa alikuwa akitupa ushauri mara kwa mara
na Rayvan mwambie Mbeya tunamsubiri 2025
 
Unawajua wajumbe vizuri kweli au unabwata tu we mmakonde. Wajumbe kumbe huwajui tabia zao na uspochek vzuri utaambulia kura negative

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasaalam wana Jf.

Msanii wa muziki bongo fleva almaarufu Kama harmonize ameeleza kuwa atagombea Ubunge kuonesha heshima kwa hayati JPM baada ya kumpa maagizo hayo kabla ya umauti kumfikia.

Msanii huyo ameeleza siku ya leo akihojiwa na wanahabari wa kituo Cha televisheni Cha UTV.

Harmonize amesema.....

Nimeona Ni heshima kubwa sana ambayo mheshimiwa aliyekuwa Rais wa JMT Dr JPM aliyoionesha kwangu kwa kuniambia nafaa kugombea Ubunge,na huu ulikuwa Kama Ni ushauri mzuri kwangu na ninachukulia Kama Ni mzazi wangu kwakuwa alikuwa akitupa ushauri mara kwa mara
Subutuu ,Hitler jazz band
 
Back
Top Bottom