Inabidi uelewe mziki mkuu ulivyo, kuna aina ya mziki wa ndani na kuna aina ya mziki wa nje, yaani msanii anaimba kwa ku-target kuwateka watanzania au anaimba mziki furani ku-target uoenye nje hatakama watanzania hawajaupenda...hili analiongeleaga sana Diamond, Diamond anaimba aina hii ya miziki ndio maana hatokuja shuka na Harmonize naye pia anafata nyao hizihizi ndio maana anatoboa pia Rayvanny umeona Lavalava aina yake ya mziki ni wandani tu ila Team inamtengeneza awe na miziki ya kutoka nje ndio kidogo anaimba kama Gogaga, Saura nk...nadahni umepata content.
Sasa tukija kwa msanii kama Marioo yeye kwanza ndio anatoka inabidi ateke mioyo ya watanzania kwa mziki wa ndani tu ambao ukiisikiliza unasema kweli huu mziki sasa mziki huu kibao tu wanao na wamepotea wakina Baraka Daprice, Bright, Aslay nk...haukufanyi wewe ukue ki-nje unakuwa unaimba vizuri ila unadumaa hapohapo, Diamond angekuwa anaimba aina hii tu ya mziki nakwambia kweli tusingemsikiza mwanamziki mwengine kamwe maana kwenye miziki hii Diamond ndio mwisho ila kutokana yeye mfanya Biashara hawezi kuacha kuimba kanyaga, marry you, eneka ili apenye nje..ndioa sawa na Harmonize.
Hitimisho
Kumfananisha Marioo na Harmo ni kumkosea Heshima Harmo, Harmo ni mtu ambaye kashatomoka kwenye soko la ndani anaoambana na nje sasahivi ao marioo bado anakazi kubwa ya kukuburudisha moyo wako wewe mtanzania ndio aende nje na yeye...mafano Harmo angeamua aimbe za ndani tu nakwambia uyo Marioo usingemsikiliza.