Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
aah nakuelewa vizuri kaka mkubwaHahahaha ndio ndio
Chelsea
Yanga
Barca
WCB
pro Russia ( mrussi mweusi[emoji23])
CUF[emoji41]
roger Federer
Golden state
Mnazii haswaa
Hii jezi wanauza 35k kwa harakaharakaaah nakuelewa vizuri kaka mkubwa
kwa chealsea tu ndo hatufanani
alafu niazime basi jezi ya chama letu la yanga.
ya kwangu imeliwa na panya..
hahaha we jamaa bhanaHii jezi wanauza 35k kwa harakaharaka
Hapo unapata mchele kg 10 super,
Unga kg 5
Na chenji inabaki[emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri kidogo watalaam wafyatue za buku saba
Ni njema sana. Siku nyingi sana zimepita.Aisee mambo mazuri kabisa habari za masiku
Ni njema sana. Siku nyingi sana zimepita.
Harmonize ndio nani tena?ukwel ni kwamba harmonize nje ya WCB hamuwez Marioo AKA #Totobad hata kidog [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji120] Pamoja sana kaka.Siku nyingi sana kaka,ila tupo pamoja.
ukwel ni kwamba harmonize nje ya WCB hamuwez Marioo AKA #Totobad hata kidog [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa umeamua kudanganya.Marioo ni mwimbaji mzur na saut nzur, ila Kwa utunzi Hamornize ni mashine....
Mkuu somtyme Marioo anakuwa overrated Sana, simply bado hata soko halimuelewi,Hapa umeamua kudanganya.
kaangalie Nana ya Diamond alafu uje usahihishe ulicho kiandikaJamani kumbukeni harmonize ndiye msanii aliyetoa nyimbo inayoongoza kwa views you tube toka Tanzania imeumbwa, kwangwaru ndio the most viewed tz song of all time. Mpeni heshima yake
weweeee umeanz kufwatilia mzik juz et nenda kaangalie ngoma za mond marry u na nanaJamani kumbukeni harmonize ndiye msanii aliyetoa nyimbo inayoongoza kwa views you tube toka Tanzania imeumbwa, kwangwaru ndio the most viewed tz song of all time. Mpeni heshima yake
Naona kutufunga mlijiona kama mshachukua eplhahaaaaa ndo unaujauzito wetu wa miez 4-0